Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni bei nafuu sana

Afu kweli asee, unakutaa kakiwanja 20x20 milioni kumi
Mbaya zaidi tulikua tunaona tuna pesa lakini ulikua ukikusanya ukafikisha hiyo million 10 yako anakuja mwenzio anaomba wamuuzie kiwanja hicho hicho kwa million 20

Ilifikia hatua heri kununua nyumba S.A. kuliko kununua kiwanja Dar es salaam

Sijui wale watu waliokua na yale mapesa wako wapi sasaivi na mimi leol niwauzie lakini kwa bei ya serikali
 
35KM kutoka Ferry, siyo mbali sana ila kwa hizo Square Metre 520 ni kidogo kwa mtu ambaye umeamua kuishi nje ya mji...utapata mteja mkuu
 
Nimefika naomba uniuzie mkuu
 
Ha ha wako lokapu watakatisha pesa
 
35KM kutoka Ferry, siyo mbali sana ila kwa hizo Square Metre 520 ni kidogo kwa mtu ambaye umeamua kuishi nje ya mji...utapata mteja mkuu
Zinatakiwa ziwe square meter ngapi kwa mtu wa kuhamia nje ya mji mkuu
 
Mmmh kwa dar na bei itachangamka sana na patakuwa parefu balaa na town
Si ndio maana watu wanakimbilia nje ya mji, pwani, huko unashusha nyumba ya ndoto yako mdogo mdogo, unazeeka kwa amani.
 
Back
Top Bottom