Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Kahtan, umesahau kuliedit tangazo lako, sisi ni wana JF sio wale wa kule fb (wana fb)Habari wana fb nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe
Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali
Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na jeshini baada ya kiwanda cha cement cha nyati
Ukubwa wa kiwanja ni SQM 520
Kiwanja kina hati toka ardhi
Umbali toka feri ni KLM 35
Umeme tayari umefika
Kwa mawasiliano 0762987034View attachment 1643596
Kahtan, umesahau kuliedit tangazo lako, sisi ni wana JF sio wale wa kule fb (wana fb)
Ko hiyo mkuu ndo bei ya kutupa....[emoji848]
Sawa ngoja wakuje...
🤝Kama kiwanja kina thamani ya mil 10 na mm nauza mil 7 na bado nimetoa nafasi ya mteja kueleza ana kiasi gani bado sio bei ya kutupa!?
Nikiwa 5 mkuu
Mkuu si ulisema upo tayari kupunguza na kuna mdau hapo kaja na milioni 5 au dau hilo la milioni 5 hukushawishika nalo?Kiwanja bado kipo wakuu pesa ngumu mwisho wa mwaka
Kwa vipi mkuu?Dah Valuers wanatugharimu sana kwa waliyoyafanya miaka iliyopita
Kuna wakati bei za ardhi na majengo zilipaa bila kufuata taratibu. Sasa zimerudi kwenye uhalisia wanaoumia ni wale walionununua wakati uleKwa vipi mkuu?
0782 829 804 cheki na huyu mtu.au huyu mwingine +255 754 047 231.ninwatu wawili tofautiNataka nyumba kigamboni ipo? Umbali uwe maximum km 15 kutoka Ferry. Yaani isizidi Km 15 toka ferry
Shukrani. Ni dalali hawa Mkuu?0782 829 804 cheki na huyu mtu.au huyu mwingine +255 754 047 231.ninwatu wawili tofauti
Afu kweli asee, unakutaa kakiwanja 20x20 milioni kumiKuna wakati bei za ardhi na majengo zilipaa bila kufuata taratibu. Sasa zimerudi kwenye uhalisia wanaoumia ni wale walionununua wakati ule