Mbaya zaidi tulikua tunaona tuna pesa lakini ulikua ukikusanya ukafikisha hiyo million 10 yako anakuja mwenzio anaomba wamuuzie kiwanja hicho hicho kwa million 20Afu kweli asee, unakutaa kakiwanja 20x20 milioni kumi
Nimefika naomba uniuzie mkuuMbaya zaidi tulikua tunaona tuna pesa lakini ulikua ukikusanya ukafikisha hiyo million 10 yako anakuja mwenzio anaomba wamuuzie kiwanja hicho hicho kwa million 20
Ilifikia hatua heri kununua nyumba S.A. kuliko kununua kiwanja Dar es salaam
Sijui wale watu waliokua na yale mapesa wako wapi sasaivi na mimi leol niwauzie lakini kwa bei ya serikali
Sema kweli💃💃💃💃Nimefika naomba uniuzie mkuu
Kweli kabisa mkuu naomba uniuzie kwa bei elekezi ya serikaliSema kweli💃💃💃💃
Njoo inbox mkuu ipoNataka nyumba kigamboni ipo? Umbali uwe maximum km 15 kutoka Ferry. Yaani isizidi Km 15 toka ferry
Ha ha wako lokapu watakatisha pesaMbaya zaidi tulikua tunaona tuna pesa lakini ulikua ukikusanya ukafikisha hiyo million 10 yako anakuja mwenzio anaomba wamuuzie kiwanja hicho hicho kwa million 20
Ilifikia hatua heri kununua nyumba S.A. kuliko kununua kiwanja Dar es salaam
Sijui wale watu waliokua na yale mapesa wako wapi sasaivi na mimi leol niwauzie lakini kwa bei ya serikali
Zinatakiwa ziwe square meter ngapi kwa mtu wa kuhamia nje ya mji mkuu35KM kutoka Ferry, siyo mbali sana ila kwa hizo Square Metre 520 ni kidogo kwa mtu ambaye umeamua kuishi nje ya mji...utapata mteja mkuu
Hatari sanaHa ha wako lokapu watakatisha pesa
Atleast 1200Zinatakiwa ziwe square meter ngapi kwa mtu wa kuhamia nje ya mji mkuu
Sure. Hata uee na bustani. Sgm 400 mpaka 900 ni ndogo. Japo uanze 1000 kwenda juu.Atleast 1200
Mmmh kwa dar na bei itachangamka sana na patakuwa parefu balaa na townAtleast 1200
Si ndio maana watu wanakimbilia nje ya mji, pwani, huko unashusha nyumba ya ndoto yako mdogo mdogo, unazeeka kwa amani.Mmmh kwa dar na bei itachangamka sana na patakuwa parefu balaa na town
Dah Valuers wanatugharimu sana kwa waliyoyafanya miaka iliyopita
Mkuu si ulisema upo tayari kupunguza na kuna mdau hapo kaja na milioni 5 au dau hilo la milioni 5 hukushawishika nalo?
Pole sanaYani acha tu mdau hichi kiwanja nauza tu