Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.

Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...

Screenshot_20240114_133757_Gallery.jpg
 
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City.
Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000. Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.
Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0762409724. Hakuna dalali. View attachment 2871354
Hio kwenye picha ni minazi au migomba?
 
Hivi thamani (bei elekezi) ya serikali kwa square metre moja kwa Kigamboni ni kiasi gani? Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom