Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

Madalali huwa wanaonaga kama watu wengine pesa wanaokota jalalani sijui kwanini wao hawaokoti.
Milioni 250 sinajiokotea mapare yangu 2 sinza kila mwisho wa mwezi najiokotea milioni 2 maisha yanaenda?
Ajabu ni kwamba kuna viwanja kuanzia laki 2 na nusu hadi bilioni moja.

Ila ukiambiwa cha laki unusu utasema mbali, kikija kupanda ukiletewa unadai bei kubwa.

Watanzania kwenye uwekezaji bado ni zero kabisa.
 
Eka moja ni sawa na mita za mraba 4,046.8564224.

Ukikadiria, eka moja ni sawa na 4047 M²
Mkuu tukiendaga kwa wakulima tunawapiga 70x70=4,900.

Tena sehemu kama Kiteto unaenda na mpiga hatua wako mrefu mwenye hatua kubwa. Badala ya 70 anakupigia 90 au mia.

Na hii kwao ndiyo sheria.

Kuna mmoja alinipa 120x90 ambayo ni sawa na mita za mraba 10,800 yaani eka mbili kwa sheria zao + mita mraba 1,000 zaidi.

Kuna mahali waliingia kingi ila mwenyeji akanikonyeza
 
Pole sana.

Eka za vipimo vyetu local ni kubwa sana kuliko eka halisia ambayo kitalaamu ina ukubwa wa 4047M².
Hii ni sawa na kusema 63.61M ×63.61 M.

Hata ukipima 70M ×70M bado ni wizi, ila hiyo ya hatua ni unyanganyi na hujuma iliyopitiliza.
 
Hujanielewa mimi ndiye nilipimiwa na kuuziwa 70x70=4,900
 
Hivi Puna Yale Yale itafika hiyo bei?Niuze changu Sqm 1345.Mimi Kigamboni hapana Bora huku Pugu hill.
 
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei maelewano.

Ni inbox au piga simu 0775880218.

20231230_164446.jpg
 
Pia ninacho Kibugumo Shule kinamsingi wa vyumba vinne sq 315 mil 20 kina hati.
 
Back
Top Bottom