Hio kwenye picha ni minazi au migomba?Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City.
Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000. Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.
Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0762409724. Hakuna dalali. View attachment 2871354
Emu prove square metres 4000 ni Sawa na ½eka how?Mkuu, hio si chini ya heka moja ?
MiperaHio kwenye picha ni minazi au migomba?
Ile miti kwenye picha ni migomba au minazi?1 sqm ni 62,500/-
Bei nzuri, wenye pesa watakuja
Sio mifenesi au mifulu?Mipera
Nimesema ni chini ya eka moja au nimesema 1/2 eka ?Emu prove square metres 4000 ni Sawa na ½eka how?
Chini ya hekaNimesema ni chini ya eka moja au nimesema 1/2 eka ?
Million 250 gawanya kwa 4000 to 10Hivi thamani (bei elekezi) ya serikali kwa square metre moja kwa Kigamboni ni kiasi gani? Nauliza tu.
Eka moja ina mita 70x70= mita za mraba 4,900.Mkuu, hio si chini ya heka moja ?
.62,500 kwa mita moja ya mrabaMillion 250 gawanya kwa 4000 to 10
Nenda kaokote.Madalali huwa wanaonaga kama watu wengine pesa wanaokota jalalani sijui kwanini wao hawaokoti.
Milioni 250 sinajiokotea mapare yangu 2 sinza kila mwisho wa mwezi najiokotea milioni 2 maisha yanaenda?
Mkuu kuna watu wananunua. Goba Kulangwa na Mbweni nako ni hivi hivi.Hiyo bei ni kubwa sana kwa ardhi ya Kigamboni...
Nimeona ni 50,000 hadi 120,000.62,500 kwa mita moja ya mraba