Kiwanja kinauzwa, kina offer na bei nzuri!

mende dume2

Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
37
Reaction score
2
kuna plot inauzwa ina offer mahali pazuri, ukubwa ni square metter 917, kipo kwenye kona karibu na designated open space. Kipo Block 13 Buyuni, manispaa ya Ilala.

bei ni maelewano, call 0715 92 00 46, for detail and mazungumzo.

It is a through away price
 
tutajie Bei pls...unajua maua mazuri huvutia vipepeo
 
wauzao bila kutaja bei...ni sawa na kutaka urais/ubunge bila kutaka kutangaza sera na ahadi zako
 
sorry bei yake ni million 4 tu pia maelewano yapo!
 
kuna plot inauzwa ina offer mahali pazuri, ukubwa ni square metter 917, kipo kwenye kona karibu na designated open space. Kipo Block 13 Buyuni, manispaa ya Ilala.

bei ni maelewano, call 0715 92 00 46, for detail and mazungumzo.

It is a through away price

sorry bei yake ni million 4 tu pia maelewano yapo!
Idadi ya ID ulizonazo inatia shaka honesty yako!
 
Back
Top Bottom