Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Chanika

mtafiti muelewa

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
186
Reaction score
103
Kiwanja kinauzwa kiko CHANIKA
ukubwa: 978 meter squares (Plot No. 142, kilichowekewa Tiki kulia)
kiko kabla hujafika CHANIKA MWISHO kimepimwa na ukikinunua tunakuprocessia na hati.
Katika picha ya Satellite ni hicho kilichochorwa kwa rangi ya Orange.
maeneneo jirani na kiwanja pamejengeka vizuri kama inavyoonekana kwenye Satellite Image na eneo linafikika bila kikwazo chochote.
bei ni tshs 20,000/= per square meter (negotiable), malipo yanaweza kufanyika kwa installments tatu.
kwa maelezo zaidi na kwenda site.
mawasiliano; 0657 317631
e-mail: kaholwe77@gmail.com
karibuni sana.
Blobdc4bd495b62747f582ce7c33e4d6ed47.jpg
Blob952b66df824a419dabfaf6e1dc5ffdd4.jpg
 
Kwenye satellite picha umeeka kiwanja kingine kabisa. Hakikisha sidhani kama ni hicho orange
 
Ni hicho hicho mkuu. Sema tu hiyo Satellite image imechukua eneo kubwa zaidi ya hiyo TP Drawing, ila kiwanja ni kile kile.
 
TSHS. 19,500,000/- KWA CHANIKA? MBONA MTASUBIRI SANA?!!!
Kaka kuna kitu kinaitwa Market Price, sijakurupuka tu kusema hiyo bei. Ukizingatia hapa unapata mpaka HATI. Na mwisho kabisa ni kuwa nimesema Price is NEGOTIABLE. Hivyo usiogope mkuu karibu tuongee.
 
Kiwanja kinauzwa kiko CHANIKA
ukubwa: 978 meter squares (Plot No. 142, kilichowekewa Tiki kulia)
kiko kabla hujafika CHANIKA MWISHO kimepimwa na ukikinunua tunakuprocessia na hati.
Katika picha ya Satellite ni hicho kilichochorwa kwa rangi ya Orange.
maeneneo jirani na kiwanja pamejengeka vizuri kama inavyoonekana kwenye Satellite Image na eneo linafikika bila kikwazo chochote.
bei ni tshs 20,000/= per square meter (negotiable), malipo yanaweza kufanyika kwa installments tatu.
kwa maelezo zaidi na kwenda site.
mawasiliano; 0657 317631
e-mail: kaholwe77@gmail.com
karibuni sana.
Picha iliyopo kwny satellite na picha ya kiwanja husika ni tofauti kabisa, otherwise ukiri kuwa umekosea au Kuna mtu anataka kupigwa hapo
 
Kaka hebu naomba uniambie ni tofauti ipi unaiona ili nikueleweshe ckwa sababu mimi naona sawa. Nakuomba uniambie wapi panakutatiza.
 
Picha iliyopo kwny satellite na picha ya kiwanja husika ni tofauti kabisa, otherwise ukiri kuwa umekosea au Kuna mtu anataka kupigwa hapo
Yupo sahihi ila kuna uwezekano mchoro wa mipango miji haukuteflect hali halisi au umechelewa kuwa implemented ndio maana unaona kama kuna muingiliano..hayo ni makosa ya kawaida kwa nchi zetu hizi masikini.
 
Asante sana mkuu kwa kujaribu kuelewesha, ni ukweli huo mchoro wa mipango miji uliandaliwa kidogo zamani (1992) na hiyo picha ya Satellite ni ya 2017 mwanzoni. Ila hakuna utofauti hapo.
 
mtasubiri sana.hata kama kina hati huwezi kuuza kiwanja chanika 20000 kwa sqm
 
Kwanza chanika bei ya soko ni shillingi 3,000-10,000 per metres square(makazi) sasa hiyo bei yenu ya soko mmeitoa wapi?
 
Kwa hiyo chanika hamna viwanja vyetu vile vya 4,000,000?
 
Back
Top Bottom