Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Chanika

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Chanika

Kwa hiyo chanika hamna viwanja vyetu vile vya 4,000,000?
Lazima vitakuwepo tu, hata humu JF vipo. Kikubwa ni sehemu kilipo, ukubwa kwa maana ya eneo na status yake pia, kimepimwa au hakijapimwa. Maana si ajabu ukauziwa kiwanja hata 2,000,000 kisha baadae ukaambiwa ni eneo la shule au eneo la wazi. AKILI KUMKICHWA.
 
Viwanja vinafanana...ila upande wa pili hakufanani...
Hasa barabara, cheki nimeonyesha kwa mistari myekundu.






Kaka hebu naomba uniambie ni tofauti ipi unaiona ili nikueleweshe ckwa sababu mimi naona sawa. Nakuomba uniambie wapi panakutatiza.
 

Attachments

  • upload_2018-2-20_14-54-12.png
    upload_2018-2-20_14-54-12.png
    229.9 KB · Views: 40
  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    73.1 KB · Views: 29
Viwanja vinafanana...ila upande wa pili hakufanani...
Hasa barabara, cheki nimeonyesha kwa mistari myekundu.
Mkuu hapo kuna full lines na doted lines. Hiyo barabara ingeonekana kama mchoro unaoendelea huko ungeonekana/ ungekuwepo hapo. Sijui umenipata vizuri?
 
Back
Top Bottom