mtafiti muelewa
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 186
- 103
Ni hicho hicho mkuu. Sema tu hiyo Satellite image imechukua eneo kubwa zaidi ya hiyo TP Drawing, ila kiwanja ni kile kile.Kwenye satellite picha umeeka kiwanja kingine kabisa. Hakikisha sidhani kama ni hicho orange
Kaka kuna kitu kinaitwa Market Price, sijakurupuka tu kusema hiyo bei. Ukizingatia hapa unapata mpaka HATI. Na mwisho kabisa ni kuwa nimesema Price is NEGOTIABLE. Hivyo usiogope mkuu karibu tuongee.TSHS. 19,500,000/- KWA CHANIKA? MBONA MTASUBIRI SANA?!!!
Picha iliyopo kwny satellite na picha ya kiwanja husika ni tofauti kabisa, otherwise ukiri kuwa umekosea au Kuna mtu anataka kupigwa hapoKiwanja kinauzwa kiko CHANIKA
ukubwa: 978 meter squares (Plot No. 142, kilichowekewa Tiki kulia)
kiko kabla hujafika CHANIKA MWISHO kimepimwa na ukikinunua tunakuprocessia na hati.
Katika picha ya Satellite ni hicho kilichochorwa kwa rangi ya Orange.
maeneneo jirani na kiwanja pamejengeka vizuri kama inavyoonekana kwenye Satellite Image na eneo linafikika bila kikwazo chochote.
bei ni tshs 20,000/= per square meter (negotiable), malipo yanaweza kufanyika kwa installments tatu.
kwa maelezo zaidi na kwenda site.
mawasiliano; 0657 317631
e-mail: kaholwe77@gmail.com
karibuni sana.
Kaka hebu naomba uniambie ni tofauti ipi unaiona ili nikueleweshe ckwa sababu mimi naona sawa. Nakuomba uniambie wapi panakutatiza.Picha iliyopo kwny satellite na picha ya kiwanja husika ni tofauti kabisa, otherwise ukiri kuwa umekosea au Kuna mtu anataka kupigwa hapo
Yupo sahihi ila kuna uwezekano mchoro wa mipango miji haukuteflect hali halisi au umechelewa kuwa implemented ndio maana unaona kama kuna muingiliano..hayo ni makosa ya kawaida kwa nchi zetu hizi masikini.Picha iliyopo kwny satellite na picha ya kiwanja husika ni tofauti kabisa, otherwise ukiri kuwa umekosea au Kuna mtu anataka kupigwa hapo
Asante kwa kunisaidia mkuu. Unapouza kitu lazima kwanza ufanye utafiti kuwa market price ikoje.Chanika kwa Bei ya soko Ni sawa maana hapa buyuni karibu na quarter za wachina square meter moja Ni 21000
Asante sana mkuu kwa kujaribu kuelewesha, ni ukweli huo mchoro wa mipango miji uliandaliwa kidogo zamani (1992) na hiyo picha ya Satellite ni ya 2017 mwanzoni. Ila hakuna utofauti hapo.Yupo sahihi ila kuna uwezekano mchoro wa mipango miji haukuteflect hali halisi au umechelewa kuwa implemented ndio maana unaona kama kuna muingiliano..hayo ni makosa ya kawaida kwa nchi zetu hizi masikini.
unadhani ni bei gani inafaa itumike kwa square meter moja Chanika?mtasubiri sana.hata kama kina hati huwezi kuuza kiwanja chanika 20000 kwa sqm
Kwanza chanika bei ya soko ni shillingi 3,000-10,000 per metres square(makazi) sasa hiyo bei yenu ya soko mmeitoa wapi?mtasubiri sana.hata kama kina hati huwezi kuuza kiwanja chanika 20000 kwa sqm
6,000-10,000 hata mimi nina site chanikaunadhani ni bei gani inafaa itumike kwa square meter moja Chanika?
Chanika ipi unayoiongelea wewe mkuu?6,000-10,000 hata mimi nina site chanika