Lazima vitakuwepo tu, hata humu JF vipo. Kikubwa ni sehemu kilipo, ukubwa kwa maana ya eneo na status yake pia, kimepimwa au hakijapimwa. Maana si ajabu ukauziwa kiwanja hata 2,000,000 kisha baadae ukaambiwa ni eneo la shule au eneo la wazi. AKILI KUMKICHWA.