salaam,
kiwanja kinauzwa, kipo kigamboni mara tu baada ya kuvuka daraja jipya, upande wa kulia (karibu na kanisa la roma (RC)
MAELEZO ya kiwanja
kina jumla ya sqm 746
kina offer tayari ( surveyed)
kimezungushiwa fensi ya ukuta.
N. B
mwenyewe anauza kwa haraka kutokana na dharura aliyoipata.
bei ni 26m. (negotiable)
kwa muhitaji aliye serious hii si ya kukosa kwaajili ya kufanya project ya kibiashara (hotel, apartments etc)
according to my experience kulingana na location na hati miliki ya kiwanja ni reasonable kabisa mkuu.
hushangai kiwanja kipo kibamba kina sqm 625 kibauzwa 15m na hapo ni squatters.