Kiwanja kinauzwa, kipo Kigamboni na kimepimwa

Kiwanja kinauzwa, kipo Kigamboni na kimepimwa

champline

Senior Member
Joined
Dec 3, 2018
Posts
181
Reaction score
244
Kiwanja kinauzwa, kimepimwa na kiko tayari kwa ujenzi. Huduma muhimu zipo,kipo mita 250 kutoka barabarani upande wa pili na ule wa mradi wa mji mpya.Kipo Dege Kigamboni.
ukubwa wake ni 20*20 meters.(400sqm).
Bei yake ni tsh 6,500,000.Kuna makazi ya watu na pande tatu za kiwanja ni barabara za mitaa kwa hiyo upande wowote kati ya hizo unaweza kuweka geti la kuingilia nyumbani kwako.

Kwa mawasiliano zaidi piga ua tuma meseji kwa namba zifuatazo:

0739600010 au 0624748884.
 
Attachments

  • IMG-20181203-WA0004.jpg
    IMG-20181203-WA0004.jpg
    122.3 KB · Views: 141
  • IMG-20181203-WA0007.jpg
    IMG-20181203-WA0007.jpg
    124.4 KB · Views: 129
Hazchem majorost: 29503924 said:
Hakuna kiwanja kingine jirani cha kuunganishia???
Subiri niulizie majirani kana kuna anaeuza kiwanja chake.lakini kumbuka pande tatu Za kiwanja ni barabara Za mitaa upande uliobaki mwenye kiwanja ameshajenga.y
 
Square metres 400 Tsh 6.5M??? !!! Wakati nimenunua juzi tu square metres 1104 kwa 3.5M.
 
Square metres 400 Tsh 6.5M??? !!! Wakati nimenunua juzi tu square metres 1104 kwa 3.5M.
Inategemea kwanza umbali,kiwanja kimekaaje,hakina bonde,maji hayatuami,huduma muhimu za kijamii zipo?maji,umeme,umbali kutoka barabarani etc.

Pia hadhi ya sehemu husika,kiwanja Kisemvule au sijui Kitunda hakiwezi kuuzwa bei sawa na kiwanja kilichopo Mbezi Beach.ni kusema unaweza ukapata heka mbili maeneo hayo hayo ya Kigamboni kwa hiyo pesa unayouziwa hapo ila ikawa ni mbali na hapo na hakina sifa nilizoziorodhesha hapo.
 
Thanks kwa kunisaidia kumuelewesha
 
bado kinapatikana kwa mwenye uhitaji usisite kufanya mawasiliano kwa namba hizo hapo juu.kuwa serious kidogo kwa sababu unakuta mtu anakupigia simu anakwambia kuna mteja anakihitaji then anakuomba umtumie muda wa maongezi kama 5000 eti awasiliane na huyo mteja!!situmagi pesa kwa watu nisiowajua hata kama inahusu deal la milions of money!!!
 
[emoji1] [emoji1] waongo hao. Ukituma ,anaitoa kwa wakala anaenda kununua unga na samaki anakamilisha mlo wa mchana,siku inapita kiuwepesi bila jasho
 
[emoji1] [emoji1] waongo hao. Ukituma ,anaitoa kwa wakala anaenda kununua unga na samaki anakamilisha mlo wa mchana,siku inapita kiuwepesi bila jasho
hawabipatagi watu wa namna hiyo.wakajaribu kwingine.
 
Uko kushoto sana... Sikai[emoji1]
issue sio kushoto au kulia.Lile ni eneo ambalo miaka ijayo litakuwa kama pale mnazi mmoja yaani ule mradi wa mji mpya utakuwa kama sehemu za posta ya sasa kibiashara then baada ya kuvuka ile barabara ndio unakutana na hivi viwanja kimojawapo ndio hiki ninachouza.kabla project haijasimamishwa watu waliuza viwanja pale hadi 15 milions.na huwezi kusema for sure kwamba ule mradi utaishia pale na magorofa yote yale yatabaki ni makazi ya popo miaka yote.miaka ijayo utakutana na magorofa tu kwenye viwanja kama hiki ninanchokiuza.
 
Bado kinapatikana kwa anayehitaji tuwasiliane
 
Yani akili yako inaishia kwenye kuwekeza nyumba ya kuishi tu. Bogus

Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi tunatofautiana kwenye akili za kuzitambua fursa.Hapa mwenyewe kuna issues za kuweka sawa ndio maana nauza hiki kiwanja but kiukweli miaka michache ijayo hili eneo litakuwa ni keki kwenye market!
 
Nilimjibu yule jamaa aliye comment huko kushoto hawezi kuishi. Hayo maeneo ya dege nayafahamu Sana ni hot cake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom