Subiri niulizie majirani kana kuna anaeuza kiwanja chake.lakini kumbuka pande tatu Za kiwanja ni barabara Za mitaa upande uliobaki mwenye kiwanja ameshajenga.yHazchem majorost: 29503924 said:Hakuna kiwanja kingine jirani cha kuunganishia???
Inategemea kwanza umbali,kiwanja kimekaaje,hakina bonde,maji hayatuami,huduma muhimu za kijamii zipo?maji,umeme,umbali kutoka barabarani etc.Square metres 400 Tsh 6.5M??? !!! Wakati nimenunua juzi tu square metres 1104 kwa 3.5M.
Thanks kwa kunisaidia kumueleweshaInategemea kwanza umbali,kiwanja kimekaaje,hakina bonde,maji hayatuami,huduma muhimu za kijamii zipo?maji,umeme,umbali kutoka barabarani etc.
Pia hadhi ya sehemu husika,kiwanja Kisemvule au sijui Kitunda hakiwezi kuuzwa bei sawa na kiwanja kilichopo Mbezi Beach.ni kusema unaweza ukapata heka mbili maeneo hayo hayo ya Kigamboni kwa hiyo pesa unayouziwa hapo ila ikawa ni mbali na hapo na hakina sifa nilizoziorodhesha hapo.
[emoji1] [emoji1] waongo hao. Ukituma ,anaitoa kwa wakala anaenda kununua unga na samaki anakamilisha mlo wa mchana,siku inapita kiuwepesi bila jashobado kinapatikana kwa mwenye uhitaji usisite kufanya mawasiliano kwa namba hizo hapo juu.kuwa serious kidogo kwa sababu unakuta mtu anakupigia simu anakwambia kuna mteja anakihitaji then anakuomba umtumie muda wa maongezi kama 5000 eti awasiliane na huyo mteja!!situmagi pesa kwa watu nisiowajua hata kama inahusu deal la milions of money!!!
issue sio kushoto au kulia.Lile ni eneo ambalo miaka ijayo litakuwa kama pale mnazi mmoja yaani ule mradi wa mji mpya utakuwa kama sehemu za posta ya sasa kibiashara then baada ya kuvuka ile barabara ndio unakutana na hivi viwanja kimojawapo ndio hiki ninachouza.kabla project haijasimamishwa watu waliuza viwanja pale hadi 15 milions.na huwezi kusema for sure kwamba ule mradi utaishia pale na magorofa yote yale yatabaki ni makazi ya popo miaka yote.miaka ijayo utakutana na magorofa tu kwenye viwanja kama hiki ninanchokiuza.Uko kushoto sana... Sikai[emoji1]
Yani akili yako inaishia kwenye kuwekeza nyumba ya kuishi tu. BogusUko kushoto sana... Sikai[emoji1]
kiongozi tunatofautiana kwenye akili za kuzitambua fursa.Hapa mwenyewe kuna issues za kuweka sawa ndio maana nauza hiki kiwanja but kiukweli miaka michache ijayo hili eneo litakuwa ni keki kwenye market!Yani akili yako inaishia kwenye kuwekeza nyumba ya kuishi tu. Bogus
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimjibu yule jamaa aliye comment huko kushoto hawezi kuishi. Hayo maeneo ya dege nayafahamu Sana ni hot cakekiongozi tunatofautiana kwenye akili za kuzitambua fursa.Hapa mwenyewe kuna issues za kuweka sawa ndio maana nauza hiki kiwanja but kiukweli miaka michache ijayo hili eneo litakuwa ni keki kwenye market!
kweli kabisa kiongozi.kule ni sehemu nzuri sana hasa kwa mtu anayefikiria mbali.Nilimjibu yule jamaa aliye comment huko kushoto hawezi kuishi. Hayo maeneo ya dege nayafahamu Sana ni hot cake
Sent using Jamii Forums mobile app