Kiwanja hakijapimwa ila kipo surveyd, kina ukubwa wa 1500sqm+. Kipo karibu na shamba litakalo jengwa shule ya feza kigamboni. Kinataka 30ML. Zingatia kutoka barabara ya kibada mwasonga ni 450m only hakina udalali. Price included na ku process hati ni PM.
kiwanja bado kipo karibuni kwa mwitaji, site ipo kituo cha Mr. Kuku kinafaa kwa uwekezaji wa nyumba za kupanga , bangaloo godown, kufugia mifugo nk. Umeme upo site. Maji pia yapo site. Barabara za mitaa iliyopangika