U unirated Member Joined Jul 17, 2018 Posts 37 Reaction score 23 Mar 31, 2021 #1 Habarin ya asubuhi Nauza shamba kisesa mwanza Ukubwa wa 70m kwa 90m karibu ekari na kitu kipo mita 500 toka barabara iendayo Usagara. Bei ni 7m
Habarin ya asubuhi Nauza shamba kisesa mwanza Ukubwa wa 70m kwa 90m karibu ekari na kitu kipo mita 500 toka barabara iendayo Usagara. Bei ni 7m
mogulnoise JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 2,435 Reaction score 5,541 Apr 3, 2021 #2 Weka mawasiliano huna simu hata ya jirani
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Apr 3, 2021 #3 Inatamanisha ila pesa hakuna Meku