Kiwanja kinauzwa kwa Bedui (Tegeta A) Goba karibu na kanisa la Wasabato

Kiwanja kinauzwa kwa Bedui (Tegeta A) Goba karibu na kanisa la Wasabato

Pius Dominick

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
77
Reaction score
56
Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui

Dakika 5 tukutoka kwa bedui center

Dakika 7 tuu mpaka goba centre

Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho

Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and urefu ni mita 38)

Kuna barabara unafika na gari bila tatizo

Eneo limejengeka vizuri sana. Kiwanja kina mita ya maji na umeme ni wa karibu tu

Kiwanja kinauzwa milioni 26 tu bila dalali

☎️ +255 658 504155

mnakaribishwa wateja
 

Attachments

  • Plot Tegeta A (Beui).jpg
    Plot Tegeta A (Beui).jpg
    44.9 KB · Views: 8
Back
Top Bottom