Kiwanja kinauzwa kwa bei poa

MWAKIGOBE

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
65
Reaction score
3
Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam.

Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli.
Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407.
 
Kina ukubwa gani? kina hati?
 
hati zipo, ukubwa wake ni takribani hekari moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…