Kiwanja kinauzwa kwa bei poa

Kiwanja kinauzwa kwa bei poa

MWAKIGOBE

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
65
Reaction score
3
Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam.

Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli.
Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407.
 
Kina ukubwa gani? kina hati?
 
Back
Top Bottom