Plot4Sale Kiwanja kinauzwa laki 8 Chalinze

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa laki 8 Chalinze

Mtumishi Anyi

Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
31
Reaction score
18
Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya Morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/=
Call/ WhatsApp; 0766428475

Katika ramani ni Kiwanja namba 21

20210515_133138.jpg
 
Kwamba hiyo ni malipo ya awali au ndio ukilipa umemaliza kila kitu?

Kwenye mauziano inahusisha hao jamaa wenye mradi wa upimaji ili taarifa zibadikishwe?
 
Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/=
Call/ WhatsApp; 0766428475

Katika ramani ni Kiwanja namba 21View attachment 2067611
Kilichopo ni hicho pekee?
 
Kwamba hiyo ni malipo ya awali au ndio ukilipa umemaliza kila kitu?

Kwenye mauziano inahusisha hao jamaa wenye mradi wa upimaji ili taarifa zibadikishwe?
Hiyo ndiyo bei ya kiwanja, kiufupi nilinunua Kiwanja kwa hao jamaa, wanaitwa SINAYI REAL ESTATE COMPANY, baada ya kupatwa na dharula niliwaomba wamuuzie mtu mwingine ili nipate hela yangu, walijambia haiwezekani ila mimi mwenyewe nimtafute mteja nimpeleke ofsini kwao kwa ajili ya kubadilisha mkataba
 
Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya Morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/=
Call/ WhatsApp; 0766428475

Katika ramani ni Kiwanja namba 21

View attachment 2067611
Karibu ndiyo nn? sema km ngapi?
 
Hiyo ndiyo bei ya kiwanja, kiufupi nilinunua Kiwanja kwa hao jamaa, wanaitwa SINAYI REAL ESTATE COMPANY, baada ya kupatwa na dharula niliwaomba wamuuzie mtu mwingine ili nipate hela yangu, walijambia haiwezekani ila mimi mwenyewe nimtafute mteja nimpeleke ofsini kwao kwa ajili ya kubadilisha mkataba
Kina hati miliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viko karibu na kile Kiwanda cha Tiles pale Chalinze kwa Mwarabu au kwa Wagogo
 
Vilivyobakia ni vya laki nne na viko viwili tuu.
Na jmosi ndo tunaenda huko kwa ajili ya kuwekea alama dhabiti kwa waliokwisha nunua.
Kama unahitaji nicheki
Umesema vipo chalinzze maeneo gani mkuu?
 
Back
Top Bottom