Plot4Sale Kiwanja kinauzwa laki 8 Chalinze

Hizi Ni tamaa uchwara, kampuni inapimaje Kiwanja 20*16???

Vijana nawashauri kama kweli mnahitaji makazi mazuri yenye future nzuri, tafuta Kiwanja maeneo yanayokua halafu nunua angalau square metres kuanzia 600+ .

Hakuna sababu ya kuwa na haraka sanaa kama mtu anataka kufanya kitu cha uhakika
 
Hizi Ni tamaa uchwara, kampuni inapimaje Kiwanja 20*16???

Vijana nawashauri kama kweli mnahitaji makazi mazuri yenye future nzuri, tafuta Kiwanja maeneo yanatokua halafu nunua angalau square metres kuanzia 600+ .

Hakuna sababu ya kuwa na baraka sanaa kama mtu anataka kufanya kitu cha uhakika
For sure mkuu Vijana watafute viwanja vya ukubwa atleast 600+ ...waachane na viwanja vya kupimwa kwa Futi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mtu unawahi Nini mpaka kuanza kununua tukiviwanja kama hivi??

Sasa hivi, Kuna viwanja kibao huko Kisemvule, Vikindu, Kiluvya, mtu anaweza kununua hata 1200 sqm na akaendelea kusikilizia hata huku akitafuta pesa za kujenga.

Tatizo mtu anakurupuka ananunua hatua 15*15 ilimradi na yeye aonekane anaishi Goba au Salasala na ndani ya miaka 5 huko anakona porini ndio kunakuwa town.
 
Hibi unajua adha za nyumba za kupanga ? Unajua changamoto watu wanazopitia kwenye majumba ya kupanga ,hasa mambo yanapokuwa ndivyo sivyo ? Ndomana mtu anaona bora apate tu pakujistiri kuliko kungoja ,maana hali za watu zinatofautiana kuna watu wanaunga unga sana kwahiyo hata kujaaliwa kupata hicho anashukuru kustirika na idhara za mwenye nyumba ,si kila mtu ana uwezo ama kipato kikubwa
 
Sipingani na wewe kuhusu kujisitiri. Nazungumzia ukubwa wa eneo lako utakalonunua
 
Very true me mwenyewe nimenunua sehemu za mbali kabisa ...Kigamboni pemba mnazi karibu na shule ya muhimmbili ..kutoka ferry mpaka huko ni 47km ... ila n barabarani kabisa ..japo lami bado haijapita ila sina Haraka yoyote ...Kingine ni Kibaha Kongowe umbali wa 10km kutoka Morogoro road ...ila kiko karibu na maeneo ya viwanda na Kituo cha treni ya mwendo kasi SOGA .. najua baadaye pataeleweka tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba hiyo ni malipo ya awali au ndio ukilipa umemaliza kila kitu?

Kwenye mauziano inahusisha hao jamaa wenye mradi wa upimaji ili taarifa zibadikishwe?
Kiwanja kinauzwa kipo mkoa wa mwanza mahali buhongwa
Kiwanja ni kikubwa kina nyumba ina vyumba vitatu banda la kuku kiwanja hiki kipo jirani kabisa na makao makuu ya manispaa ya jiji la mwanza
Kiwanja hiki kinafaa kwa ujenzi wa hoteli au nyumba za kupangisha kwa mawasiliano zaidi 0678509094
 
Hibi unajua adha za nyumba za kupanga ? Unajua changamoto watu wanazopitia kwenye majumba ya kupanga ,hasa mambo yanapokuwa ndivyo sivyo ? Ndomana mtu anaona bora apate tu pakujistiri kuliko kungoja ,maana hali za watu zinatofautiana kuna watu wanaunga unga sana kwahiyo hata kujaaliwa kupata hicho anashukuru kustirika na idhara za mwenye nyumba ,si kila mtu ana uwezo ama kipato kikubwa
Mkuu hakuna asiyepitia changamoto za Kupanga ...Ila unapotaka kufanya Settlement haitakiwi kujiwazia ww tuu ..Fikiria na kizazi chako mkuu

Ni bora uchelewe lakini ufanye kitu cha maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingani na wewe kuhusu kujisitiri. Nazungumzia ukubwa wa eneo lako utakalonunua
Hali inapokuwa si hali boss ndo unajikuta hata 15 kwa 10 mtu anachukua al muradi kapata pakuweka chumba na seble
 
Mkuu hakuna asiyepitia changamoto za Kupanga ...Ila unapotaka kufanya Settlement haitakiwi kujiwazia ww tuu ..Fikiria na kizazi chako mkuu

Ni bora uchelewe lakini ufanye kitu cha maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli unayosema ila hoja yangu uwezo tunatofautiana ,binafsi nilitafta sehemu ya mbali ili nipate eneo la kujitosheleza ,maana pana jamaa yangu alin'gan'gania kukaa karibu na mjini ila kwa sasa anajuta maana eneo dogo ,ila kwa wakati ule anafanya maamuzi akikuwa sahihi ,maana alipambana kwanza apage kwa kuweka ubavu ,Ila kama huna msukumo mkubwa ni heri utulie upate mahali pakutosha
 
Tatizo mtu anakurupuka ananunua hatua 15*15
heri yako wewe tajiri mwenye mapesa mengi
hatufanani , unakula kamba yako inakoishia

anajibana karib na town usafiri uwe rahisi, anajibana kwa 15mx12m aondoke na kadhia ya kupanga
asubiri ajimeki akamate 30mx30m, sawa umri/muda hausubiri
 
Visingizio havijawahi kuisha. Anyway, ukisema mjini unamaanisha wapi?
 
Vilivyobakia ni vya laki nne na viko viwili tuu.
Na jmosi ndo tunaenda huko kwa ajili ya kuwekea alama dhabiti kwa waliokwisha nunua.
Kama unahitaji nicheki
Mkuu kimepimwa au miaka 10 badae kunakuja kuwa kama Keko au Tandale
 
Very true me mwenyewe nimenunua sehemu za mbali kabisa ...Kigamboni pemba mnazi karibu na shule ya muhimmbili ..kutoka ferry mpaka huko ni 47km ... ila n barabarani kabisa ..japo lami bado haijapita ila sina Haraka yoyote ...Kingine ni Kibaha Kongowe umbali wa 10km kutoka Morogoro road ...ila kiko karibu na maeneo ya viwanda na Kituo cha treni ya mwendo kasi SOGA .. najua baadaye pataeleweka tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa Pemba mnazi jirani yangu..mm niko na kiwanja upande wa beach. Kiukweli ni mbali ila ni kuzuri sana
 
Back
Top Bottom