Mtumishi Anyi
Member
- Sep 11, 2018
- 31
- 18
Umeambiwa 21Kiwanja kipi? Au chochote kwenye hiyo ramani!?
Namba 21Kiwanja kipi? Au chochote kwenye hiyo ramani!?
Ukizoom namba hazionekaniNamba 21
Kilichopo ni hicho pekee?Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/=
Call/ WhatsApp; 0766428475
Katika ramani ni Kiwanja namba 21View attachment 2067611
Hiyo ndiyo bei ya kiwanja, kiufupi nilinunua Kiwanja kwa hao jamaa, wanaitwa SINAYI REAL ESTATE COMPANY, baada ya kupatwa na dharula niliwaomba wamuuzie mtu mwingine ili nipate hela yangu, walijambia haiwezekani ila mimi mwenyewe nimtafute mteja nimpeleke ofsini kwao kwa ajili ya kubadilisha mkatabaKwamba hiyo ni malipo ya awali au ndio ukilipa umemaliza kila kitu?
Kwenye mauziano inahusisha hao jamaa wenye mradi wa upimaji ili taarifa zibadikishwe?
Ndio mkuuKilichopo ni hicho pekee?
Karibu ndiyo nn? sema km ngapi?Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya Morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/=
Call/ WhatsApp; 0766428475
Katika ramani ni Kiwanja namba 21
View attachment 2067611
Ni mita 800Karibu ndiyo nn? sema km ngapi?
Kina hati miliki?Hiyo ndiyo bei ya kiwanja, kiufupi nilinunua Kiwanja kwa hao jamaa, wanaitwa SINAYI REAL ESTATE COMPANY, baada ya kupatwa na dharula niliwaomba wamuuzie mtu mwingine ili nipate hela yangu, walijambia haiwezekani ila mimi mwenyewe nimtafute mteja nimpeleke ofsini kwao kwa ajili ya kubadilisha mkataba
Wapi huko mzeya kiwanja laki tatu.Hapo hapo pingo kuna viwanja vinauzwa 300k n a vikubwa kuliko hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni inauza naendelea kujiridhisha uhalali wao usikute n matapeli coz makampuni yamekua mengiWapi huko mzeya kiwanja laki tatu.
Vilivyobakia ni vya laki nne na viko viwili tuu.Wapi huko mzeya kiwanja laki tatu.
Umesema vipo chalinzze maeneo gani mkuu?Vilivyobakia ni vya laki nne na viko viwili tuu.
Na jmosi ndo tunaenda huko kwa ajili ya kuwekea alama dhabiti kwa waliokwisha nunua.
Kama unahitaji nicheki
Navipataje, msaada pls, nahitaji kimoja hapoHapo hapo pingo kuna viwanja vinauzwa 300k n a vikubwa kuliko hicho
Sent using Jamii Forums mobile app