Kiwanja kinauzwa mabwe pade-bunju b" nusu heka bei 8mil, 20x20 bei 3mil

Kiwanja kinauzwa mabwe pade-bunju b" nusu heka bei 8mil, 20x20 bei 3mil

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
Kiwanja kipo jirani na shule na hospitali ya mabwe
kipo eneo zuri pamechangamka sana
eneo ni safi na ni nje ya eneo la mradi, panafaa sana kwa uwekezaji wa mifugo na makazi

VILE VILE
Kama utahitaj vipande nakata kulingana na jinsi unavyo hitaji
nahitaj wanunuzi makini sitaki madalali
tuwasiliane kwa 0755 069740 au 0716 866241.
:flame:
 

Attachments

  • IMG_20140719_133759.jpg
    IMG_20140719_133759.jpg
    41 KB · Views: 219
  • IMG_20140719_133544.jpg
    IMG_20140719_133544.jpg
    53.3 KB · Views: 219
Umbali gani kutoka bagamoyo rd ?na kama unaelekea bagamoyo kutokea mjini kiko kushoto au kulia?
 
Kipo upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo, ni lazima ufike bunju mwisho then kuna barabara ya changarawe upande wa kulia just driving for 5min. utafika hospital ya mabwe
 
unamaanisha nini kusema pamechangamka? na una documentation gani mkuu? huduma za maji na umeme zipo umbali gani?
 
habari, kiwanja kina uthibitisho wowote kutoka kwa muuzaji, ningependa kuona
 
Back
Top Bottom