Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mwanagati (Dar es salaam )

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mwanagati (Dar es salaam )

Mwanagati hata Mimi Nauza Changu bei 50M pamepimwa Hati kila kitu kipo... Kuna vyumba vinne
 
Kiwanja chenye ukubwa wa ft72 *51 eneo LA magore kaburi moja karibu na shule ya msingi mafanikio,kitunda ukonga,DSM. kinauzwa tshs9,000,000/=,barabara hadi mlangoni,kinafaa kwa frem za biashara,kimepimwa kienyeji cont 0629 500 010.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa ft72 *51 eneo LA magore kaburi moja karibu na shule ya msingi mafanikio kinauzwa tshs9,000,000/=,barabara hadi mlangoni,kinafaa kwa frem za biashara,kimepimwa kienyeji cont 0629 500 010.
Napafahamu hapo Kigoma wilaya ya Uvinza utapata wateja faster eneo zuri sana...
 
Njaa aliyosababisha Magu acha kabisa... Viwanja haviuziki na ukikaa nacho sana anapewa Bakhresa bure...

Mkuu kwani Airtel wamepunguza mgao wa mwaka kwa kuweka mnara kwenye kiwanja chako?
 
Njaa aliyosababisha Magu acha kabisa... Viwanja haviuziki na ukikaa nacho sana anapewa Bakhresa bure...

Mkuu kwani Airtel wamepunguza mgao wa mwaka kwa kuweka mnara kwenye kiwanja chako?

Mgao kama kawaida mkuu. Ni contract ya muda maalum. Na kiwango ukikikubali ndio una sign!!
 
HABARI WANA JF HUSIKA NA KICHA CHA HABARI HAPO JUU.

KIWANJA KINAUZWA

Maeneo ya Mwanagati karibu na shule ya Mzinga English Medium.

Umbali wa kilometa 7 kutoka Banana ( Nyerere Road ).

Eneo: 35,394 sqm.

Bei: 800,000 USD ( Maongezi yapo ondoa shaka ).

ENEO:

Limepimwa na lina Hati halali ya umiliki. ( Lilinunuliwa kwa matumizi ya shule ).

Kuna nyumba moja ya vyumba viwili na sebule.

Lina Mazao: ( minazi na miembe).

Pia lina Mnara wa simu ( Airtel ).

Maji na umeme vinapatikana

KWA MAWASILIANO ZAIDI:

+255 716 808 888

+255 655 823 141

KARIBUBI NYOTE.

Nimeweka baadhi ya picha hapo chini kuonyesha hali halisi ya eneo hilo.

6c41c32a21bddecc438595abf7feb0f7.jpg

59d73165962aa394145c95079f8ce7ca.jpg
0bddb5ac8fdf1719a7c6d6cfdb8f4492.jpg
f7a5730ec4b66256bc547289e039b503.jpg
65d1f15ef9912a0c5d8eeee385cbb38b.jpg
1b343dbbf6985699ac860a8a90259534.jpg
45b3f4d2d43e3b3aa82cb1c4f57650dc.jpg
kwann usikate kate ukauza plots, napenda kupata plot mwanagan sana aisee good landscape
 
Back
Top Bottom