Ochoa Real Estate
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 46
Huu uchawi sasa
SawaKiwanja kinauzwa Makongo CCM
Kilomita moja kutoka Makongo Road
Kiwanja kina njia pande mbili/Conner Plot
Kiwanja kipo juu tambarare
Kiwanja kina SQM 1500+
Kiwanja kinauzwa Milioni 210 tu(maongezi yapo)
Kiwanja kimezungukwa na nyumba za kisasa
Dakika 10 upo Mlimani city
☎️+255 699 255 530
Beach view ✅
Kila la kheri kwa wauzaji na wanunuzi
Hiyo bei umeiona? Kuna heri hapo?Kila la kheri kwa wauzaji na wanunuzi
Kuna upigaji mkubwa sana kwenye biashara ya viwanja, hasa Dar es Salaam. Kuna namna serikali ifanye udhibiti wa hii kitu, watu wasiwe wanakuja na bei zao za ajabu ajabuHiyo bei umeiona? Kuna heri hapo?