Gozybusness
Member
- Jul 24, 2022
- 23
- 29
Mbona hujaweka sifa za kiwanja?Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI [emoji385] M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126
0689357572View attachment 2366529View attachment 2366532View attachment 2366534
Ukubwa wa kiwanja?Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126
0689357572View attachment 2366529View attachment 2366532View attachment 2366534
Kumbe anatupigaMleta Tangazo,, ukweli umeandika Tangazo kwa kuficha ficha sana taarifa za eneo na kiwanja.
Singibadi sio mbagala chamazi na wala sio mbagala mbande.
Singibadi ni sehemu ipo ndani ya kijiji cha mipeko katika wilaya ya mkuranga. Mkoa wa pwani
Kutoka mbande magengeni lazima upande bajaj ama dala dala kufika singibadi.
Sio sahihi hiyo sehemu upaite Mbagala chamazi . Maana ni kata tofauti, wilaya tofauti na hata mkoa ni tofauti .
Mbagala Chamazi na hata mbande zipo ndani ya mkoa wa Dar es salaam wilaya ya temeke huku singibadi ipo ndani ya wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.
Kama nasema uongo naomba unipinge kwa vielelezo
40×50 futiUkubwa wa kiwanja?
nilitaka kushangaa mbande upate kiwanja 40x50 kwa milion 3 kumbe kiwanja kipo mkuranga pwani huko iyo bei ni kubwa labda milion 2Mleta Tangazo,, ukweli umeandika Tangazo kwa kuficha ficha sana taarifa za eneo na kiwanja.
Singibadi sio mbagala chamazi na wala sio mbagala mbande.
Singibadi ni sehemu ipo ndani ya kijiji cha mipeko katika wilaya ya mkuranga. Mkoa wa pwani
Kutoka mbande magengeni lazima upande bajaj ama dala dala kufika singibadi.
Sio sahihi hiyo sehemu upaite Mbagala chamazi . Maana ni kata tofauti, wilaya tofauti na hata mkoa ni tofauti .
Mbagala Chamazi na hata mbande zipo ndani ya mkoa wa Dar es salaam wilaya ya temeke huku singibadi ipo ndani ya wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.
Kama nasema uongo naomba unipinge kwa vielelezo
nilitaka kushangaa mbande upate kiwanja 40x50 kwa milion 3 kumbe kiwanja kipo mkuranga pwani huko iyo bei ni kubwa labda milion 2
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwa iyo apo ni mita 12 kwa 15 kiwanja maana mita moja sawa na futi 3 nanpointPia Hizo 40 x 50 ni futi sio mita.
... sawa na 12 x 15 mita; anyway, labda pa biashara ya genge!40×50 futi
Sawa. Tukumbushane tuje tukione wakati wa MASIKA na kujadiliana hiyo bei!Ukubwa futi 40×50
Kiwanj kipo eneo la makazi
Uduma zote za kijamii zipo
☑ maji ☑umeme☑Shule ☑soko☑Zahanati n.k
Location mbagala chamazi mbande ( singibad).
Kutoka mbande magengeni adi sing bad Kilometer 1.5 usafili boda1000 au bajaji500
Dakika 4 kutoka tawi la yanga singbad
Bei 3.3m 0768041126
Unauzaje futi Mzee huu ni wiziUkubwa futi 40×50
Kiwanj kipo eneo la makazi
Uduma zote za kijamii zipo
[emoji819] maji [emoji819]umeme[emoji819]Shule [emoji819]soko[emoji819]Zahanati n.k
Location mbagala chamazi mbande ( singibad).
Kutoka mbande magengeni adi sing bad Kilometer 1.5 usafili boda1000 au bajaji500
Dakika 4 kutoka tawi la yanga singbad
Bei 3.3m 0768041126
Ahaahaahaha waache wizi sio40*50 feets ni sawa na 12*15 meters halafu ni milioni tatu duh kiwanja kipo magomeni au?