Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

Gozybusness

Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
23
Reaction score
29
Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126
0689357572
IMG-20220924-WA0014.jpg
IMG-20220924-WA0003.jpg
IMG-20220924-WA0012.jpg
 
Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI [emoji385] M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126
0689357572View attachment 2366529View attachment 2366532View attachment 2366534
Mbona hujaweka sifa za kiwanja?

Acha uvivu biashara haifanywi kama unavyodhani,weka sifa ili mtu avutike.

1.Kiwanja kina ukubwa gani?

2.hiyo mbande ni kubwa,taja sehemu maarufu kinakopatikana.

3.Kutoka hapo kilipo kiwanja Mpaka barabara kuu kuna umbali gani?

4.Kimepimwa?

5.Kipo maeneo ya kibiashara au ni kwa ajili ya makazi?
 
Ukubwa futi 40×50
Kiwanj kipo eneo la makazi

Uduma zote za kijamii zipo
☑ maji ☑umeme☑Shule ☑soko☑Zahanati n.k

Location mbagala chamazi mbande ( singibad).

Kutoka mbande magengeni adi sing bad Kilometer 1.5 usafili boda1000 au bajaji500

Dakika 4 kutoka tawi la yanga singbad
Bei 3.3m 0768041126
 
Mleta Tangazo,, ukweli umeandika Tangazo kwa kuficha ficha sana taarifa za eneo na kiwanja.

Singibadi sio mbagala chamazi na wala sio mbagala mbande.

Singibadi ni sehemu ipo ndani ya kijiji cha mipeko katika wilaya ya mkuranga. Mkoa wa pwani

Kutoka mbande magengeni lazima upande bajaj ama dala dala kufika singibadi.

Sio sahihi hiyo sehemu upaite Mbagala chamazi . Maana ni kata tofauti, wilaya tofauti na hata mkoa ni tofauti .

Mbagala Chamazi na hata mbande zipo ndani ya mkoa wa Dar es salaam wilaya ya temeke huku singibadi ipo ndani ya wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.

Kama nasema uongo naomba unipinge kwa vielelezo
 
Kumbe anatupiga
 
nilitaka kushangaa mbande upate kiwanja 40x50 kwa milion 3 kumbe kiwanja kipo mkuranga pwani huko iyo bei ni kubwa labda milion 2

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Futi 40 kwa 50 unakuja kutuuzia mil 3 wakat viwanja maeneo hayo vinauzwa laki 7 boss. Enewei wacha nipite zng nisiharb biashara.
 
Ukubwa futi 40×50
Kiwanj kipo eneo la makazi

Uduma zote za kijamii zipo
☑ maji ☑umeme☑Shule ☑soko☑Zahanati n.k

Location mbagala chamazi mbande ( singibad).

Kutoka mbande magengeni adi sing bad Kilometer 1.5 usafili boda1000 au bajaji500

Dakika 4 kutoka tawi la yanga singbad
Bei 3.3m 0768041126
Sawa. Tukumbushane tuje tukione wakati wa MASIKA na kujadiliana hiyo bei!
 
Ukubwa futi 40×50
Kiwanj kipo eneo la makazi

Uduma zote za kijamii zipo
[emoji819] maji [emoji819]umeme[emoji819]Shule [emoji819]soko[emoji819]Zahanati n.k

Location mbagala chamazi mbande ( singibad).

Kutoka mbande magengeni adi sing bad Kilometer 1.5 usafili boda1000 au bajaji500

Dakika 4 kutoka tawi la yanga singbad
Bei 3.3m 0768041126
Unauzaje futi Mzee huu ni wizi
 
Kuuza viwanja kwa futi ni wizi...
Kiwanja chapaswa uzwa kwa mita
 
Back
Top Bottom