KIWANJA KINAUZWA MBEZI BEACH SALASALA-KILIMAHEWA , KIMEPIMWA, BARABARA YA LAMI.

KIWANJA KINAUZWA MBEZI BEACH SALASALA-KILIMAHEWA , KIMEPIMWA, BARABARA YA LAMI.

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Kiwanja Hiki kimepimwa, mawe yasha wekwa, Hati ndio zinatolewa mwezi Aprili,kwasasa kuna Mkataba wakisheria uliofanyika wakati wa mauziano baina ya mununuzi na muuzaji.

Kina ukubwa wa 520sqm(Angalia picha zilizo ambatanishwa na tangazo hili kukiona vizuri)

Maji Bomba kubwa la mtaa liko mita 10 tu kutoka site ilipo mtaa mzima washa fungiwa ma bomba na mita, maji yanatoka kila siku, Kisima kikubwa cha Dawasa kiko Maeneo hayo kimezinduliwa january na Waziri wa maji.

Umeme upo nyumba za pemben huitaji nguzo.
Eneo: Mbezi beach ya Salasala, Mtaa Wa Nanyumbu.
Bei: 17Milion (ingawaje madalali wana kitangaza kwa 20milion) ukipitia kwangu una save 3milion.

Sababu za kuuza: Nimepata Dharura ya Mgonjwa wa matibau ya nje ya nchi.
 

Attachments

  • RAMANI KIWANJA SALASALA-1.jpg
    RAMANI KIWANJA SALASALA-1.jpg
    51.5 KB · Views: 83
  • Picha site Salasala 520sqm.png
    Picha site Salasala 520sqm.png
    196.8 KB · Views: 67
  • IMG_20181222_131546.jpg
    IMG_20181222_131546.jpg
    434.6 KB · Views: 78
Back
Top Bottom