Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

Munari

Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
79
Reaction score
99
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro
Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi
Kinafikika kwa hali zote
Ni kiwanja no 3775
Bei Tsh.2.5m
Njoo Mazungumzo yapo
20230512_140401.jpg
 
Unaweza kutoa details kidogo kwamba hiyo Kiegeya ipo barabara ya wapi ukiwa hapo Morogoro? Na vyema ukaeleza kuhusu huduma nyingine za Kijamii
 
Hapo kwa yoyote atakayetaka kukinunua Official Search ni muhimu usije ukasema wanaJF hawakuniambia.
 
Unaweza kutoa details kidogo kwamba hiyo Kiegeya ipo barabara ya wapi ukiwa hapo Morogoro? Na vyema ukaeleza kuhusu huduma nyingine za Kijamii
Ukitoka mjini ukiwa waelekea dom ukivuka reli.mwendo kas kidaraja mbele kulikuwa mzani zamani ndiyo uaanza mkundi utaona sheli mkono kulia kwako ndio hiyo barabara mbele kuna huo mtaaa bada hapaja jengeka sana ndiyo kuanaza
 
Hapo kwa yoyote atakayetaka kukinunua Official Search ni muhimu usije ukasema wanaJF hawakuniambia.
Karibu kujiridhisha muhimu pia uwekezaji mzuri usihofu
Mm sio dalali ni mali yangu halal
 
Karibu kujiridhisha muhimu pia uwekezaji mzuri usihofu
Mm sio dalali ni mali yangu halal
Nipo Arusha Mkuu ila kwa huo ukubwa na kama kuna maji na miundombinu mingine ni bei ndogo sana. Au labda kwavile nipo Arusha ambapo viwanja ni ghali.
 
Kiegea napafahami sana, kuna a na b.
Ila kuna wakati palikuwa na mgogoro sana viwanja vya kule, vingi vimevamiwa, ila kama kimepimwa nkutakia biashara njema.
 
Kiegea napafahami sana, kuna a na b.
Ila kuna wakati palikuwa na mgogoro sana viwanja vya kule, vingi vimevamiwa, ila kama kimepimwa nkutakia biashara njema.
Hamna tena mgogoro pamepimwa kila mtu ana miliki yake
Na ramani ndiyo jiyo Blok P
Karibu
 
Hamna tena mgogoro pamepimwa kila mtu ana miliki yake
Na ramani ndiyo jiyo Blok P
Karibu
Asante mkuu, nilitoka huko miaka kama 10 iliyopita, so sikuwa na taarifa baada ya kutoka huko, nilikua na eneo jirani na hapo i think unafahamu shule ya sekondari ya kayenzi, sio mbali na kiegea kutoka hapo.
 
Back
Top Bottom