Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

Hizi ni picha za 2012 kiegea .
Kipindi si kumejengeka sana mkuu?
 
Ukitoka mjini ukiwa waelekea dom ukivuka reli.mwendo kas kidaraja mbele kulikuwa mzani zamani ndiyo uaanza mkundi utaona sheli mkono kulia kwako ndio hiyo barabara mbele kuna huo mtaaa bada hapaja jengeka sana ndiyo kuanaza
Shukrani Kwa maelezo yaliyo jitosheleza ๐Ÿ™

Sasa nimepata picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ