Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro

No_Worries

Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
69
Reaction score
23
Update: Biashara haipo tena!!

Wakuu habari!

Nina plot yangu yenye maelezo yafuatayo naiuza.
 
Ni plot ya maana, na eneo lile zimejengwa nyumba za maana.
Embu weka Picha ya hizo nyumba za maana zilizoko karibu na hiyo plot, inaweza kuvutia wanunuzi zaidi.
 
Pata plot iliyopimwa ikiwa eneo lililopimwa ndani ya manispaa ya Morogoro mjini. Plot ipo umbali wa kama kilometa mbili kutoka eneo la Kihonda Magorofani/ama samaki samaki (Ni upande wa kulia barabara ya Dodoma ukitokea Msamvu)!

Mzee plot bado ipo?
 
Namapajua. Ni maeneo mazuri Sana halafu tambarale.tatizo ni mbali kidogo na mjini ila kwa wenye usafiri Sio shida kabisa.

Nikutakie kila la heri mkuu na upate mnunuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu Kama plot haiko ndani ndani huko basi ni karibu sana na barabara kuu Moro to dodoma, hapo usafiri wa umma Ni wa uhakika kaa asilimia 100/%.

Mkundi, kwa chambo, lukobe Ni mbali Sana na mjini sema hao wana usafiri wa uhakika na wa haraka ndo maana walalahoi wanakimbilia Kule na panatanuka kwa Kasi ya kutisha. Kanyenzi nako usafiri umeanza kufika ila Ni zile haice ndogo na zenyewe sijui Kama zinafika tatu zinapokezana kwa ufupi Ni shida kubwa mno gari inaweza ikawa imeshajaa ila makonda wanapaki nusu saa nzima eti wanasubili watu wawili au watatu wa kusimama.

(Point kubwa kanyenzi Ni eneo la matajiri Kama ilivyo kwa yespa na bigwa huko).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikosa kabisa mteja, nitakutafuta mwezi wa tisa nikichukue. Nitahitaji kiwanja kikubwa kwa wakati huo kati ya Moro au Dodoma. Nitaihifadhi namba yako.

Pia ungetufafanulia sisi wa vijijini hizo square meters ni sawa na upana wa mita ngapi, na urefu mita ngapi ili tuelewe vizuri.
 
Kilimanjaro pako bomba sana Kuna majumba watu wanapandisha si mchezo nataka kununua kule Kama nitapata plot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni kama mita 45 kwa 36
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…