No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Update: Biashara haipo tena!!
Wakuu habari!
Nina plot yangu yenye maelezo yafuatayo naiuza.
Wakuu habari!
Nina plot yangu yenye maelezo yafuatayo naiuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kipo mkuu! Njoo tufanye biashara!
Embu weka Picha ya hizo nyumba za maana zilizoko karibu na hiyo plot, inaweza kuvutia wanunuzi zaidi.Ni plot ya maana, na eneo lile zimejengwa nyumba za maana.
Pata plot iliyopimwa ikiwa eneo lililopimwa ndani ya manispaa ya Morogoro mjini. Plot ipo umbali wa kama kilometa mbili kutoka eneo la Kihonda Magorofani/ama samaki samaki (Ni upande wa kulia barabara ya Dodoma ukitokea Msamvu)!
Ulishaenda kukiona mkuu?Namapajua. Ni maeneo mazuri Sana halafu tambarale.tatizo ni mbali kidogo na mjini ila kwa wenye usafiri Sio shida kabisa.
Nikutakie kila la heri mkuu na upate mnunuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Kiwanja sikijui ila maeneo nayajua sana hayo.Ulishaenda kukiona mkuu?
Alryt ni tambalare?
Yes. Hakuna milima, hakuna mawe, ukiamua kujenga sawa, ukitaka ulime sawa pia udongo uko tayari kwa kazi zote.Alryt ni tambalare?
Yes mkuu Kama plot haiko ndani ndani huko basi ni karibu sana na barabara kuu Moro to dodoma, hapo usafiri wa umma Ni wa uhakika kaa asilimia 100/%.Asante kiongozi kwa heri ya kupata mnunuzi! Kuhusu usafiri, well, inategemeana, lakini nijuavyo mimi hapo kwenye plot inayouzwa ni karibu sana na town kuliko maeneo mengine yanayojengwa kwa sasa. Ni mwendo wa kutembea kwa dakika chache hadi KIHONDA magorofani na kupata usafiri wa umma (wa uhakika) lakini pia kuna daladala zinafika hadi Kayenzi (sijawahi kuutumia usafiri wa daladala za Kayenzi kwa hiyo sijui ni wa haraka kiasi gani). Kwa vyovyote vile huwezi ukalinganisha umbali wa kutoka Town hadi Kayenzi na Umbali wa kutoka town hadi - Kilimanjaro, Kiyegeya, Azimio, Mkundi n.k huko ni mbali kupindukia.
Kilimanjaro pako bomba sana Kuna majumba watu wanapandisha si mchezo nataka kununua kule Kama nitapata plotAsante kiongozi kwa heri ya kupata mnunuzi! Kuhusu usafiri, well, inategemeana, lakini nijuavyo mimi hapo kwenye plot inayouzwa ni karibu sana na town kuliko maeneo mengine yanayojengwa kwa sasa. Ni mwendo wa kutembea kwa dakika chache hadi KIHONDA magorofani na kupata usafiri wa umma (wa uhakika) lakini pia kuna daladala zinafika hadi Kayenzi (sijawahi kuutumia usafiri wa daladala za Kayenzi kwa hiyo sijui ni wa haraka kiasi gani). Kwa vyovyote vile huwezi ukalinganisha umbali wa kutoka Town hadi Kayenzi na Umbali wa kutoka town hadi - Kilimanjaro, Kiyegeya, Azimio, Mkundi n.k huko ni mbali kupindukia.
Hapo ni kama mita 45 kwa 36Ukikosa kabisa mteja, nitakutafuta mwezi wa tisa nikichukue. Nitahitaji kiwanja kikubwa kwa wakati huo kati ya Moro au Dodoma. Nitaihifadhi namba yako.
Pia ungetufafanulia sisi wa vijijini hizo square meters ni sawa na upana wa mita ngapi, na urefu mita ngapi ili tuelewe vizuri.