Kiwanja kinauzwa Morogoro

Kiwanja kinauzwa Morogoro

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Hello wadau..nauza kiwanja Morogoro mjini..kipo mita 200 kutoka stendi kuu ya hiace kwenye barabara ya kwenda boma road...kina ukubwa wa sq 400 na kina ukuta na kina pakana na barabara ya lami.Bei maelewano.Karibuni sana
 
Tupia bei ndipo mazungumzo yafuate
 
Back
Top Bottom