N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Apr 2, 2014 #1 Hello wadau..nauza kiwanja Morogoro mjini..kipo mita 200 kutoka stendi kuu ya hiace kwenye barabara ya kwenda boma road...kina ukubwa wa sq 400 na kina ukuta na kina pakana na barabara ya lami.Bei maelewano.Karibuni sana
Hello wadau..nauza kiwanja Morogoro mjini..kipo mita 200 kutoka stendi kuu ya hiace kwenye barabara ya kwenda boma road...kina ukubwa wa sq 400 na kina ukuta na kina pakana na barabara ya lami.Bei maelewano.Karibuni sana
jnrs JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 505 Reaction score 237 Apr 2, 2014 #2 Tupia bei ndipo mazungumzo yafuate