Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Sawa ili ondoa neno utapeli kwenye comment yako ikiwa bado hujanipa pesa yeyoteBwana mkubwa acha kujipachika utapeli bila sababu ya msingi.
Weka ukubwa, miundo mbinu, na bei. Elezea aina ya hati iliyopo. Hapo utawafanya wanunuzi makini wakutafute.
Kila la kheri
Haujanielewa mkuu. Niwie radhi sana.Sawa ili ondoa neno utapeli kwenye comment yako ikiwa bado hujanipa pesa yeyote