Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

Benno Bongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
620
Reaction score
704
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge.

Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga.

Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934

20170128_155822.jpg
20170110_154458.jpg
 
Bwana mkubwa acha kujipachika utapeli bila sababu ya msingi.

Weka ukubwa, miundo mbinu, na bei. Elezea aina ya hati iliyopo. Hapo utawafanya wanunuzi makini wakutafute.

Kila la kheri
 
Bwana mkubwa acha kujipachika utapeli bila sababu ya msingi.

Weka ukubwa, miundo mbinu, na bei. Elezea aina ya hati iliyopo. Hapo utawafanya wanunuzi makini wakutafute.

Kila la kheri
Sawa ili ondoa neno utapeli kwenye comment yako ikiwa bado hujanipa pesa yeyote
 
Sawa ili ondoa neno utapeli kwenye comment yako ikiwa bado hujanipa pesa yeyote
Haujanielewa mkuu. Niwie radhi sana.

Nilichomaanisha ni kwamba, eneo zuri na ni lako kabisa.

Lakini tangazo haujaliweka vizuri, lina mapungufu mengi kiasi watu wanaweza kukufikiria wewe ni tapeli. Ndio maana nikaandika kwanini unataka kujipachika au kujulikana kama tapeli bila sababu?

Fanyia kazi hayo marekebisho madogo tu uliboreshe tangazo mkuu.
 
Dolphin logde ipo mtaa gani Mwanza?
Bei gani unauza?
Ukubwa wake?
Kina hati?
 
Back
Top Bottom