frankmweka
New Member
- May 9, 2017
- 3
- 2
Mbona unauza hilo eneo kijanja janja sana?Kiwanja kinauzwa njiro temdo kwa nyuma kiwanja kina ukubwa sqmt 2198 ni mitaa 900 kutoka barabara kuu ya njiro huduma zote zinapatikana kina hati sqmt 1 ni 50000 maongezi yapo pia 0629194102
Asante mkuu nimekuelewaMbona unauza hilo eneo kijanja janja sana?
Kuna nini..!
Andika lugha rahisi inayoeleweka.
Mfano; Urefu mita kadhaa na upana mita kadhaa. Hii itamrahisishia mnunuzi kujua matumizi sahihi ya kiwanja.
Pia badala ya kuandika 50,000/sqm, andika wazi kwamba bei ni sh. Milion Mia moja (50,000 x 2198).
Kumbuka kuna watu wana pesa ila hawajui hesabu.
Hakukuwa na haja ya kuweka alama ya kipimo kwenye hizo tarakimu za upana na urefu kwa sababu alivyotaja ukiwa wa kiwanja aliandika Sqmt..japo kwa kufupisha ila tayari ilibidi tuelewe tu hizo 57/30 ni vipimo urefu kwa mita.Mbona unauza hilo eneo kijanja janja sana?
Kuna nini..!
Andika lugha rahisi inayoeleweka.
Mfano; Urefu mita kadhaa na upana mita kadhaa. Hii itamrahisishia mnunuzi kujua matumizi sahihi ya kiwanja.
Pia badala ya kuandika 50,000/sqm, andika wazi kwamba bei ni sh. Milion Mia moja (50,000 x 2198).
Kumbuka kuna watu wana pesa ila hawajui hesabu.
Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 57 na upana ni 30 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu.
Huduma zote zinapatikana, kina hati.
Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo.
Pia 0629194102
Bei 2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana.