Kiwanja kinauzwa - tegeta namanga

Kiwanja kinauzwa - tegeta namanga

McAlly

New Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Kiwanja chenye ukubwa wa 800 square metre (40m x 20m) ambacho kipo: BLOCK F; TEGETA NAMANGA na pia kina HATI ya miaka 99 kinauzwa.

Document zote zipo, utaruhusiwa kukagua hati, kukiona na kuzungumza ukiwa mnunuzi (ambaye ni muhitaji wa kiwanja).

Bei Shilingi za Kitanzania 43milioni (TShs. 43m)

Mawasiliano: 0715-338735 au 0655-622933.
 
McAlly bei inatisha hiyo!!! Mimi ni mgeni wa bei za maeneo hayo kama zimfika huko ni balaa.
 
Back
Top Bottom