Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Toangoma 4,000,000/=

Unforgettable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
5,584
Reaction score
12,461
Kiwanja kipo sehemu nzuri,kituo kwa george,dakika tano kutembea kutokea main road mpaka kwenye kiwanja,huduma zote za kibinadamu zipo umeme,maji(dawasco) yapo.

Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 kwa mawasiliano zaidi 0656408030​

IMG_20210911_141703.jpg
IMG_20210911_141707.jpg
 
Kina hati au ndo mambo ya hati serikali ya mtaa a.k.a kupigwa.

Toangoma mnauza viwanja sana na mnakula dili na viongozi wa serikali za mtaaa,4years ago jamaa angu alitonywa kiwanja chao kimesafishwa na kupandwa miti,tunamhoji mwenyekiti analeta story kilichompata hatosahau Maisha yake.Ila huruma ilinijia KWA aliyeuziwa Daah so sad,mtu unakuta umeduduliza vijifedha vyako afu mtu akutapeli kiwanja
 
Pole kwa jamaa yako ila hichi hakina hizo ishu
 
Kina hati au ndo mambo ya hati serikali ya mtaa a.k.a kupigwa.

Toangoma mnauza viwanja sana na mnakula dili na viongozi wa serikali za mtaaa,4years ago jamaa angu alitonywa kiwanja chao kimesafishwa na kupandwa miti,tunamhoji mwenyekiti analeta story kilichompata hatosahau Maisha yake.Ila huruma ilinijia KWA aliyeuziwa Daah so sad,mtu unakuta umeduduliza vijifedha vyako afu mtu akutapeli kiwanja
Mtendaji pale ni kimeo.
Hakikisha kinasoma wizarani na muuzaji kitambulisho jina na sahihi vinafanana na sura.
 
Hapo kiwanja kilichopimwa ni 20m kuendelea sasa hicho ni 4m kwasababu tu hakijapimwa?
 
Back
Top Bottom