Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
- Thread starter
- #21
20*20 kwa 20m mkuu ni tuangoma ipi hiyo ukute me najipunja?Hapo kiwanja kilichopimwa ni 20m kuendelea sasa hicho ni 4m kwasababu tu hakijapimwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20*20 kwa 20m mkuu ni tuangoma ipi hiyo ukute me najipunja?Hapo kiwanja kilichopimwa ni 20m kuendelea sasa hicho ni 4m kwasababu tu hakijapimwa?
Kwahiyo unabadilisha bei au una mpango gani!20*20 kwa 20m mkuu ni tuangoma ipi hiyo ukute me najipunja?
Nimewaza tu mkuu naweza nikawa najipunja ngoja kwanza niconsult wajuziKwahiyo unabadilisha bei au una mpango gani!
Umbali gani kuyoka barabara ya kwenda kibada?Nimewaza tu mkuu naweza nikawa najipunja ngoja kwanza niconsult wajuzi
Hii barabara siifahamu ila ukiwa tuangoma mwisho unaweza kutembea kwa mguu mpaka kiwanjani,kwenye kiwanja ni kituo kwa george/kwa ustaadhi dakika 3 mpaka kwenye kiwanja...karibuUmbali gani kuyoka barabara ya kwenda kibada?
Umbali gani kutoka morogoro rdNauza viwanja vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m kwa aliye serious ani PM
2km njia ya kama unaenda kwa GwajimaUmbali gani kutoka morogoro rd
Kiluvya ipi? Madukani, kwa komba, bwawani au wapi?2km njia ya kama unaenda kwa Gwajima