Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Uko sahihi kabisa mkuu. Karibu sana.Safi mazingira mazuri ubungo riverside ni mjini kabisa ukizingatia soko la wachina linaenda kukamilika itoshe kusema ni eneo la kimkakati lenye fursa.
Njoo tuzungumze tajiri!Hiyo bei si mchezo.
Nmeshabadilisha mkuu. Ni mandela RoadUbungo Riverside ni Morogoro road au Mandela road?
Kila la kheri mkuuHiyo 550 milion si napata viwanja viwili makumbusho? Au magomen mapipa
Cha Msewe kikoje?Uko sahihi kabisa mkuu. Karibu sana.
Nina kingine kikubwa sana,kipo msewe,nyuma ya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ni kikubwa zaidi. SQM 15378 (3.8ACRE).Cha Msewe kikoje?
UNaijua sqm 2700 mkuu..?Hiyo 550 milion si napata viwanja viwili makumbusho? Au magomen mapipa
hivi kuna watu hawaijui Dar es salaam kiasi hiki? dar ni jiji la taifa kila mtu yapasa alijue ndugu zangu.Ubungo Riverside ni Morogoro road au Mandela road?
Bei rahisi sana, umekwama wapi?Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati inashughulikiwa, ukikinunua basi linawekwa jina lako moja kwa moja).
Ndani ya kiwanja kuna nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu, kimoja master, public toilet, sebule, dining na jiko.
Bei ni Milion 550.
Mawasiliano: 0654323679
Karibuni sana.
View attachment 3131703View attachment 3131704View attachment 3131705View attachment 3131706View attachment 3131707View attachment 3131708