Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

Kiwanja cha 900sqm kipo?
Sehemu nzuri kwa kujenga kwa kukodisha
Au nyumba ya kuvunja na kujenga kwenye eneo kubwa kiasi
Hii kwa mimi hapana boss
 
Milioni Miatano naenda kibaha nanunua hekta kumi milioni mia mbili na zinazobaki naanzisha mradi wa ufugaji ambao Kwa mwaka mmoja naipata Tena hiyo milioni mia Tano .
 
Nawakumbusha tu wa mwisho kutoka dunian asisahau kuzima taa 🙏🙏
 
Back
Top Bottom