wapalepale
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 259
- 58
samahani wa jf. namba kama kuna mtu anataarifa za kiwanja kinachouzwa maeno ya tabata segerea.. nahitaji nisaidieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali taja ukubwa unaohitaji na uwezo/bajeti yako itasaidia. ninavyo viwanja ila sina mpango wa kuviuza - ukitaja ukubwa na uwezo wako naweza shawishika kuuza.