Plot4Sale kiwanja kinauzwa

Plot4Sale kiwanja kinauzwa

Nimefika kwenye kiwanja ni kizuri tatizo jamaa kakomaa na bei chakushangaza anataka mnunuzi alipe garama za serekaki ya mtaa! kwa usawa huu inabidi ujiongeze viwanja viko vingi sio wewe peke yako ujiongeze ufanye biashara acha kukomaa na bei yako pia anataka umpigie simu mwanzo mwisho yeye hapigi
 
Ohoooo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sana kama nilikukwaza sikutegemea mazungunzo ya nje ya jf kama ungeyaleta hapa kuhusu bei inategemea na demand bishara ni maelewano sio ugonvi hali ningumu pandezo zote kwa mnunuzi na muuzaji wote tuko ndani ya nchi kuhusu garama za serekali za mitaa nilazima zilipwe ili upate umili wa eneo kisheria na sio hella nyingi,mwisho kuhusu simu sikua na vocha kwenye kipindi ambacho tulikutana kama ungeniuliza ningekueleza palepale naomaba tuyamali nje ya jf tufanye biashara kiwanja bado kipo samahani sana.
 
Una lugha nzuri sana ya kibiashara ila wengi sio wanunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom