sulfametopyrazine
Senior Member
- Apr 3, 2013
- 134
- 26
kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa 1734 sqm kipo chanika (ukipanda basi la chanika unashuka kituo kinaitwa Kwa Sadala) kina hati ya umiliki na hakina mgogoro, kiko 300m au pungufu kutoka barabara kuu. Bei ni 30m ila maelewano yapo (ni cha kwangu mwenyewe sio udalali) piga 0754-865092. Asanteni muwe na mchana mwema.