Kiwanja kinauzwa.

Kiwanja kinauzwa.

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,151
Reaction score
809
Jamani ninauza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kipo kigamboni. Kijijini: Mwasonga. Near to Dar es salaam zoo. Kuna shule ya primary, secondary na zahanati. Mtu atakayetaka kuchukua ni lazima ajue eneo Hilo liko mbali kidogo na mji. Usafiri wa kufika huko upo tena mzuri. Ni sehemu ambayo kwa sasa inaanza kujengwa kwa kasi. Bei 7.5 M. Tuwasiliane.
 
Dah nakitamani ila mambo mengi kwasasa. Kila la heri
 
Back
Top Bottom