Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Dandaj

Member
Joined
Apr 16, 2009
Posts
73
Reaction score
3
Wa ndugu Habari za asubuhi?,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa iliyotambarare.

Mawasiliano kwa njia ya simu: 0715994725 au 0784994725.
 
...I think it is a Medium density Plot with approximately 30 x 30m? Looks to be good deal.......! haya wadau mstaki mkatapeliwe viwanja vya 50,000, pata kitu cha high quality na uhakika and ofcourse kwa fair price.......! hope huyu jamaa anaweza adjust bei kidogo....so changamkeni!
 
Mkuu nimekupata haaaa.... unaanza kusogeza rasilimali...Next level yuko wapi? Ndo maeneo yake ya investments! haaa..
 
Mkuu hata hujachelewa! Duu...
Btw mi nilijua ni ile nyumba!!!
 
Ndio mkuu, ninasogeza rasilimali moja ili iboreshe rasilimali nyingine.hihiiiiiiii.
 
Mkuu hata hujachelewa! Duu...
Btw mi nilijua ni ile nyumba!!!

....ha!ha!ha!...we kijana watch out! You know what? Hichi kiwanja kinakufaa sana weye...serious! ebu mcontact kijana, yale maeneo yamepangwa vizuri kweli kweli kama kule Kinyerezi tumeenda siku ile......! na jamaa wameshajenga utadhani ni masaki vile.....!

So sema kijana dili lifungwe.....? Danda....check na Shapu.....he badly needs a good Plot....hataki uswazi......!
 
Naona nimepelekee PM huyu shapu ili tunene kwa lugha. Haaha hahahaaa
 
....ha!ha!ha!...we kijana watch out! You know what? Hichi kiwanja kinakufaa sana weye...serious! ebu mcontact kijana, yale maeneo yamepangwa vizuri kweli kweli kama kule Kinyerezi tumeenda siku ile......! na jamaa wameshajenga utadhani ni masaki vile.....!

So sema kijana dili lifungwe.....? Danda....check na Shapu.....he badly needs a good Plot....hataki uswazi......!

Mkuu NL nimekusoma vizuri. Dandaj tuonane from Thursday next week nikaangalie hiyo bness. Maeneo hayo si mwenyeji lakini yakinivutia tunaconclude!!
 
....Kijana Danda unaona mineno hiyo? Halafu dogo ujifunzi hata kugonga senkisi wewe....LOL!

Shapu ....I 'm very sure utavutiwa tu pale mahali...... ila dogo itabidi aadjust bei yake naye......!
 
Tehe tehe.. teheee....
Sasa hicho kiwanja kimepimwa within skwata au ni eneo lote limepimwa? Man u know me+skwata=no
Alafu umeone hii biashara hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...-la-bara2-ya-kwenda-saadan-2.html#post1037499 inalipa kweli au ndo kule kwenye minanasi?
 
Lile eneo lote limepimwa......kama unakumbuka that day tukiwa tunapata mbuzi kinyerezi walikuja jamaa wawili....wakawa wanazungumzia jinsi watu walivyokujenga huko.....Chanika blablabalaa!....so ni hot area kwa kweli!

Ngoja nichungulie hiyo business hapo......!
 
So Dandaj ni kiona mbali enheee... so ana dispose one investment and impose several. That is good...nimeona umediscourage watu kuchukua mashamba kwani wanakaa nayo tu bila kufanya chochote then i posed and wonder!! how could you come up with such comments!! Loh.. labda una agenda fulan...
 
Wa ndugu Habari za asubuhi?,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa iliyotambarare.

Mawasiliano kwa njia ya simu: 0715994725 au 0784994725.

Du mkuu, kweli ardhi imekuwa hot cake!! Yaani hata huko medium ambayo ina offer tu ni bei hiyo? Ngoja niwahi vile vya kisarawe!!!

.....Duuuh naniangusha mkuu Maane....Kisarawe tena?....hujayasikia ya CHAWATA nini?
 
So Dandaj ni kiona mbali enheee... so ana dispose one investment and impose several. That is good...nimeona umediscourage watu kuchukua mashamba kwani wanakaa nayo tu bila kufanya chochote then i posed and wonder!! how could you come up with such comments!! Loh.. labda una agenda fulan...

Yes banaaa.....kule Bagamoyo utakuwa meiona hiyo siyo? yes, Unapoamua kuinvest kwenye LAND lazima uwe na mpango mahususi wa kupaendeleza, sio unajichotea maekari kibao ukiulizwa unataka kufanyia nini unashindwa kuelezea.......ha!ha!ha!....my policy now....nikchukua land lazima nifanye kitu....iwe kulima lima....au kuweka mbuzi hata wawili na kibanda cha miti au kupanda miti etc.....!

U know what watu wengi wamelia na haya mashamba...walichukua maekari kibao wakashindwa kufanya chochote...then serikali inapotaka kupanua miji inawanyang'anya bila haka kuwalipa coz hawaendeleza....tofauti na sehemu zilizopimwa......! so be careful
 
Tehe tehe.. teheee....
Sasa hicho kiwanja kimepimwa within skwata au ni eneo lote limepimwa? Man u know me+skwata=no
Alafu umeone hii biashara hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...-la-bara2-ya-kwenda-saadan-2.html#post1037499 inalipa kweli au ndo kule kwenye minanasi?
Nilikuwa offline kidogo, nilirudi nimeona vijana mmejadili hili dili kwa upana sana, Thanks all of u!!!. Hicho kiwanja hakina hata mti wa kung'oa, nimeshakilima majani mara mbili, Ki-ukweli hutaweza kujutia kukipata. Kupimwa kuna maana kuweka plan ya barabra na huduma nyingine muhimu sehemu. HIVYO SIYO SKWATA HATA CHEMBE.
 
Back
Top Bottom