Plot4Sale Kiwanja Kitunda kinauzwa 3m tu

kwadilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
756
Reaction score
898
Habari Wana jukwaa
Hongereni na poleni kwa changamoto ngumu za ujenzi wa nchi.

Maelezo
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, Jimbo la Ukonga. Kata ya Kitunda
Kutoka Banana unapanda gari za Magole
Ukubwa wa viwanja
1. Kiwanja Cha kwanza kina meter 14 kwa meter 17
Kipo kwenye barabara ya mtaa
Bei Yake ni 3m tu.

2. Kiwanja cha pili kina ukubwa wa meter 20 kwa 20
Sqm 400
Kipo tambarare vizuri
Bei: 5.5m
Huduma za maji, umeme, shule, barabara
Zote zipo

Mawasiliano: 0785 857564


 
Iko cha kwanza kula kula 1.5 m
 
Uuzaji wa viwanja 20 kwa 20 na kushuka chini UMEPIGWA MARUFUKU na Wizara ya Ardhi, hakuna hati itakayotolea hapo
 
Uuzaji wa viwanja 20 kwa 20 na kushuka chini UMEPIGWA MARUFUKU na Wizara ya Ardhi, hakuna hati itakayotolea hapo
Hakuna kinachoshindikana kwenye hii nchi..... Lakini watu wa Dar wapuuzi sana kiwanja 20 kwa 20 ndio mtindo wao halafu Bei mlima
 
Uuzaji wa viwanja 20 kwa 20 na kushuka chini UMEPIGWA MARUFUKU na Wizara ya Ardhi, hakuna hati itakayotolea hapo
Mkuu viwanja vingi vya serikali ni sqm 400 kushuka chini
Kuna mzee wangu kanunua viwanja kwenye mradi mpya wa viwanja vya serikali mtumba mjini dodoma
Kimoja kina sqm 336
Kingine sqm 378
Pia kumbuka si kila mwananchi ana uwezo wa kununua kiwanja chenye Sqm 1200+
Zingine ni siasa tu tuziache Kama zilivyo
 
Maelekezo ya Waziri ni AMRI, ukileta ubishi utakwama kwenye kupatiwa kibali cha ujenzi huko Halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…