Kiwanja kiwanja, mwanza.

Kiwanja kiwanja, mwanza.

Wababa

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
158
Reaction score
14
Hbr gani wanajamvini! Jamani mwenzio naishi geita mkoani mwanza, kwa wale wenyeji wa mwanza....! Natafuta kiwanja cha size ya kati ndani ya jiji la mwanza, pls am serious jamani kama kuna yeyote anauza uwanja anifahamishe pls sehem na bei ni tsh ngapi? Maeneo nayopendelea ni busweru, mkolani, nyegezi, kishiri, na sehem nyingine ambazo hazipo mbali sana na mji. Pia viwanja vya kimagumashi vya kuuziana mara saba watu tofauti sivitaki.
 
Nakusikiliza wewe mkuu, 4sure nipo serious sana mkubwa
 
Back
Top Bottom