Dalali Alpha Member Joined Apr 20, 2021 Posts 89 Reaction score 60 Apr 21, 2021 #1 Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami. Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking) Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo] Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa. Tupigie: 0686648630
Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami. Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking) Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo] Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa. Tupigie: 0686648630
M mwanamatumbi Member Joined May 14, 2020 Posts 49 Reaction score 156 Apr 21, 2021 #2 Kikifika 10M nishtue mkuu
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 18,585 Reaction score 16,780 Apr 21, 2021 #3 Ngoja nimtonye mdau mmoja anapenda sana kupata eneo maeneo hayo.
Dalali Alpha Member Joined Apr 20, 2021 Posts 89 Reaction score 60 Apr 21, 2021 Thread starter #4 kiwatengu said: Ngoja nimtonye mdau mmoja anapenda sana kupata eneo maeneo hayo. Click to expand... Utakuwa umefanya jambo jema
kiwatengu said: Ngoja nimtonye mdau mmoja anapenda sana kupata eneo maeneo hayo. Click to expand... Utakuwa umefanya jambo jema
Dalali Alpha Member Joined Apr 20, 2021 Posts 89 Reaction score 60 Apr 21, 2021 Thread starter #5 mwanamatumbi said: Kikifika 10M nishtue mkuu Click to expand... Biashara maelewano mkuu, karibu kwenye meza ya mazungumzo. Mkishindwa kukubaliana, tupo kukusaidia kupata kiwanja ndani ya budget yako.
mwanamatumbi said: Kikifika 10M nishtue mkuu Click to expand... Biashara maelewano mkuu, karibu kwenye meza ya mazungumzo. Mkishindwa kukubaliana, tupo kukusaidia kupata kiwanja ndani ya budget yako.